Wanajeshi wa Urusi wawaita Wanajeshi wa Afrika "Takataka" wakiwa wote vitani Ukrein

Tamaa ndiyo iliyosababisha kifo cha Nemes Tarimo ambaye aliuwawa huko Ukrein akipigania Urusi kama mwanajeshi
Watu wanafanya kaz we unasema tamaa, unataka waishi kwa nguvu ya shemej kama wewe?

Kwani wew utaishi mile? Acha watu wapige pesa wakifa familia zao ztaneemeka
 
Hao watakua chambo. Watatangulizwa mstari wa mbele ili kuonesha adui alipo
 
Waafrica wengi wanajipendekeza kwa mrusi utafikiri
 


MOTO NAWAKA

MOTO MULIWAKA MULUNGO

What the hell is that?

Hao sio wabongo. Ni ma propaganda ya mleta mada.
 
Kwahiyo kama ni takataka wasiambiwe?
 
Kwa ufupi hao ni chambo, wanawekwa front kutest position na mitambo ya adui,wame sign kifo kwa ufupi,very sad indeed
 
Huenda wako huko urusi kwa mafunzo ya kivita front line. Kwani wanafunzi wanajeshi hufanyia wapi field? Ni hukohuko kwenye nchi zenye vita. Ukipona poa tu na ukifia mazoezini ndio imetoka hiyo
Wanakufa kizembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…