Naungana na wakongo kwamba hao monusco waondoketu sababu pamoja na uwepo wao bado machafuko hayaishi.
Kwaupande mwingine nipo pamoja na wanajeshi wetu hao kwakuwa wanahaki ya kujilinda katika mazingira magumu kama hayo,sababu kunataarifa kwamba wanajeshi kadhaa wa monusco wameuwawa kwenye hizo ghasia kwahiyo mazingira kama hayo yana sababisha hao wanajeshi wa Monusco kujilinda kikamilifu pia.
Swala lakuondoka amakubaki ni jukumu la mabosiwao kutoa maagizo kwa vikosi kuondoka ama kubaki na sio jukumu la mwanajeshi kuondoka katika eneo alilo pangiwa.
..hao wacongo kwanini hawashughuliki na waasi? waasi si ni wacongomani wenzao?
..je, askari wa kulinda amani wakiondoka hao wacongomani watakuwa salama zaidi?
..tatizo ni watoa maamuzi walioko New York na Kinshasa na sio askari walioko ktk maeneo yenye vurugu.