Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Shambulizi la anga la Israel limewaangamiza Mahmoud Abu Nar, mwanachama mkuu wa Harakati ya Mujahidina aliyehusishwa na utekaji nyara wa familia ya Bibas.
Na pia Wapalestina wanaripoti kuangamizwa kwa Mahmoud Abu Naar, mjumbe wa baraza la kijeshi la Mujahidina Brigedi na kamanda wa Gaza ya kati.
Magaidi wote waliouwawa wasipumzike kwa Amani huko motoni maana mikono yao imejaa damu za watu wasio na hatia.