Wanajeshi wetu wanajisikiaje??

Mods unganisha huu uzi
 
Kama rais aliyekuwa madarakani alikufa mikononi mwao unafikiri watawaamini? Sababu ni kuwa kila mwana usalama kwa bongo inawezekana akawa na bei maana kama walieuhusu rais aliyepo madarakani kauawa na waujai wanajigamba tena na wizi juu unadhani wataaminika????
 
 
Biden akienda China au Russia Barabara hufungwa na ulinzi ni WA USA sembuse Tanzania?
 
Kinachoshangaza Sana kwenye ujio wa viongozi wa mataifa makubwa kama USA,ni wanahabri wa huku kwetu.
Kila mwanahabari anatoa habari kuhusu security details za hao viongozi,tokea day one Hadi siku wanaondoka.
Yaani inakuwa kama ushamba na ulimbukeni Fulani hivi. Tuko bize kuhabarishwa kuhusu ulinzi wa viongozi hao na sio manufaa ya ujio wao.
Sekta ya habari imeingiliwa Sana.....infact imebakwa.
 
Zipo nchi ambazo haruhusiwi kwenda na ulinzi wake China na Urusi ni miongoni mwa hizo nchi.
 
hatuko competent

Jiridhishe kabla ya ku-comment, umepotosha.
cha ajabu nini wakati sikutumia lugha fasaha? Ningekuelewa kama unge edit kiingereza mwanzo mwisho. Halafu kwenye hizo selective sentences lini uliona rais wa marekani akienda kwenye hizo/akienda, majeshi ya nchi hizo yatawekwa pembeni wao ndio wasimamie zoezi zima? Mimi kama mtanzania huwa sipendi nchi yangu idharauliwe kwa hali yeyote ile
 
Ni dhahiri kuwa hawaaminiki. Linapokuja suala la ulinzi wa kiongozi wa Marekani, hawana mzaha, na ni popote duniani sio kwetu tu, maana lolote likimtokea kiongozi wao, Sheria zitawabana kujua ilikuwa aje.
 
Biden akienda China au Russia Barabara hufungwa na ulinzi ni WA USA sembuse Tanzania?
wakati mwingine uwe unaelewa contexilization grammaticallz neno limetumikaje katika content. Nimeandika compentent unajua niliaminisha nini kwa kiswahili, kwani sikujua kuna competence? Kuna upotoshaji gani hapo? Jikite kwenye hoja achana na grammar/literature
 
Ni popote waendapo. Huko maeneo ya Uchina, tuliona ndege ya spika wao inasindikizwa na videge vidogo vya kivita.
 
...inakua poa, na wao wanakua wanaambuliapo raha ya kulindwa, tena na Marekani
 
Sio kweli. Vikosi vyote wenyeji uhusika kwa eneo kubwa la ulinzi kwa mgeni bila wao ni ngumu kupata taarifa sahihi za eneo husika na kuendesha operations zao.
 
Unazungumzia wanajeshi gani hawa wakurukisha watu kichura kisa kavaa nguo ya mabaka mabaka au kapita kwenye eneo la jeshi

Raia anapita eneo la jeshi na hana hata silaha lakini wanaogopa hatari
 
Rais wa china aliwahi kuja lakini hatukuona ulinzi wa mbwembwe kama wa USA. Wanasafiri nje ya nchi yao na msafara mzito wa madege na magari yao. Kwani nchi wanazokwenda hawana!? Mbona wakienda nchi za ulaya msafara sio mkubwa? Kama vipi na sisi rais wetu akisafiri nje ya nchi aondoke na msafara mkubwa ndege mbili za abiria airbus tulizonazo ongeza zingine mbili kubwa za kijeshi. Abebe mpaka wasanii, waganga wa kienyeji na wengine wengi, sio mawaziri na makatibu na wanasiasa wengine pekee yaani tuwe kama wao wanavyokuja na watu wengi tusiojua nao wamekuja kufanya nini kiasi cha kuja na madege makubwa mawili. Rais wetu abebe mpaka wacheza ngoma
 
Sie hatuna jeshi,tuna wanachama wa ccm waliovaa magwanda,viongozi wote wakubwa wa jeshi,Wana kadi za ccm,ni wapuuzi tu,wanachowaza ni ccm kukaa Madarakani tu,
Niliona kikosi Cha kumlinda Kamala,ukiacha secret service wanavaa suti,Kuna wale makomandoo kama seal team,
Vijana wameshiba,miili ya ki athletic,miili ya GYM,sio kama wa huku vitambi vikubwa vya bia,sie Bado sana bro,jeshi letu linawaza ki ccm zaidi kuliko ki proffesional,
 
Dah nahisi watakuwa wanyonge

Hamna cha unyonge. Suala la ulinzi kuna part mbili, upande wa nyumbani na ulinzi wao. Kwetu tuna play sehem yetu na wao wana sehemu yao. Sio kwamba detail ya rais samia inabadilika 100% na kuwekwa wazungu no
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…