Wanajeshi wetu wanajisikiaje??

Wa kwetu wamezoea kupasua tofali
 
Wanajisikia ndivyo sivyo, ila nguvu ya uchumi ndio muamuzi sahihi.
 
Hiyo ni kawaida, na mifumo yote ya Serikali inajuwa. Siyo mara ya kwanza hilo kutokea kwani hata George Bush Jr, na Barack Obama walipokuja security protocol ilibadilika. Mind you USA ndiyo dunia
Kuna insu kubwa inaendelea kati ya USA na Tanzania,yani Tawala zote 3 za USA za hivi karibuni Ma Rais wao kuna hapa sio coincidence.
 
kuanzia Airport mpka sehemu alipokuwa huyo mgeni na mpaka anaondoka wanajeshi wa kigeni ndio walikuwa wanaosimamia show nzima ya ulinzi ya viongozi wote wawili,
Kama wanaweza kuhujumu viongozi wao ndani ya nchi yao ndiyo watawalinda wageni kwa uadilifu? Ukizingatia mpaka dakika hii hatujulikani tupo na Putin au Byeden
 
Sasa askari wetu asilimia kubwa wanavitambi.........ukiambiwa Dunia ya tatu hii ndiyo maana yake halisi
 
Teknolojia na vifaa mkuu..
 
Mimi ningekuwa Mwanajeshi kwanza nisingeona shida, Marekani ni kubwa sana, yaani ni dubwana la kutisha.

Ningeangalia A, B, C wanavyofanya na ningeshauri hapa na pale parekebishwe au kubadilisha kama ningekuwa na uwezo huo.

Maandishi matatu sio Dubai
 
Ulitaka wajusikieje labda?
Au unadhani ni sifa kusimama barabarani kama mlinzi?
Au ulitaka wawe na kiherehere gani cha kulalamikia kupangwa lindo?


Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Hawaaminiki kwa sababu wamejiachia sana kazi yao kufakamia mavyakula huko makambini matokeo yake wanakuwa na vitambi kama pipa,wanachoweza wao ni kuonea raia mitaani na barabarani wakijifanya wababe kumbe hawana lolote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kheeeeh wee mie nisichekee kisa nn?? Hebu niachee, makasiriko yako huko huko, hainihusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…