WanaJF Bora wa siku zote

[emoji13][emoji13][emoji13]mada zake huwa zinaniogopesha. Nikitaka kusoma huwa nakaa eneo la wazi maana unaweza guswa na jani ukahisi ni jini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mtu anayezungumza na maiti utakaaje naye karibu. Siku aliyionimaliza ni siku aliyopiga maiti makonde ya kutosha eti kwakuwa tu iligoma kufumba macho.
 
Nimependezwa sana na jibu hili, ambalo si utamaduni wa MEMBA wengi wa hapa JF. Yaani mtu akosolewe KIKEJELI/RI, au KISTAARABU, halafu aliyekosolewa ajibu KISTAARABU.
No.mimi nasema hivi kwa sababu nakubaliana na wengi Nina tatizo kwenye uandishi nina uwezo mkubwa lakini uwasilishaji Ni sifuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…