Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Nimependezwa sana na jibu hili, ambalo si utamaduni wa MEMBA wengi wa hapa JF. Yaani mtu akosolewe KIKEJELI/RI, au KISTAARABU, halafu aliyekosolewa ajibu KISTAARABU.Me sielewi ebu njoo inbox unishauri vizuri namna ya kuandika.nakuomba Sana dada yangu