WanaJF Bora wa siku zote

Mshana ni all weather aisee.
 
Si nilikwambia mimi pekee ndio nitakaedumu na wewe ukajifanya una kiranga sana. Yako wapi sasa?
kwako kigoma mwisho wa reli nimefika kwako

nilikuwa nafikiri kigoma ni mbali kumbe nipo tabora
 
Uzuri wa hii njemba haikurupuki inapoanzisha uzi.

Njuzi zake ziko nondo, hata kama ni mistari 3 tu ukiipitia unapata ujumbe mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…