WanaJF Bora wa siku zote

Niko serious akija hapa umuulize uone kama atabisha. Jamaa lichawi likikosa Mtu wa kumloga linaloga jogoo akose mtetea wa kugegeda.

CC Mshana Jr kwa uthibitisho
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... Maanina zako[emoji87][emoji87][emoji87] mpaka jioni

Jr[emoji769]
 
Mzee
huyo ni mke wa mtu
usijichekeshe uonekane mcheshi
kama unalingia uchawi mm hata wa kununua nitaununua
thanks
Mme wa espy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki nimechekaaa.
 
Mshana ni all weather aisee.

All round player, means yupo fit kila angle, anacheza kila namba.

All weather ina maana yuko fit kila muda (hapa inaweza kuwa fit kwa kitu kimoja tu).

Nahisi labda kuwa sahihi tuzijumlishe pamoja.
 
All round player, means yupo fit kila angle, anacheza kila namba.

All weather ina maana yuko fit kila muda (hapa inaweza kuwa fit kwa kitu kimoja tu).

Nahisi labda kuwa sahihi tuzijumlishe pamoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu tusifanye mambo magumu, tufanye tu umeelewa si ndio?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu tusifanye mambo magumu, tufanye tu umeelewa si ndio?

Nisamehe, nimeliweka hapo kwa sababu ya kuelekezana, siku nyingine unaweza kulitumia kwingine pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…