WanaJF inatakiwa tuonane jamani

Nakumbuka miaka 5-7 kulikuwa na JF PARTY OF THE YEAR! Kuna wakati wings 2 zilifanya vzr sana kwenye hili yaani JF Dar Wing na JF Arusha Wing.
Kama vipi wale coordinators wairejeshe ile... it was amazing kwa kweli.
 
Na ndio ujiulize kwanini polisi walienda ofisi za jf na kutaka taarifa fulani za wana jf!..!
Jichanganye Sasa uone unavyochanganywa..

Hilo swali langu hapo juu la ming'ombe linamaana sana..[emoji23]
Nimekuelewa sana,nadhan hio ndio nzuri tukutane kin'gombe n'gombe tupige story tuachane,cha msingi wa arrange meeting point basi
 
Upo sawa, mimi pia nipo tayari hakuna kuficha tena ID
 
Labuda lakini wengine tushaharibu humu hata usipojitaja Kuna mimtu ambayo shipa la mdomo lishakatika linaweza kukubambikiza jina la mwana jf mwengine..[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…