Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Unachagua tu kundi lako linalokufaaSisi mashangazi tunaangukia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachagua tu kundi lako linalokufaaSisi mashangazi tunaangukia wapi?
Nakumbuka miaka 5-7 kulikuwa na JF PARTY OF THE YEAR! Kuna wakati wings 2 zilifanya vzr sana kwenye hili yaani JF Dar Wing na JF Arusha Wing.Siyo kwa ubaya bali kwa mema tu...tupange ratiba ya kuonana hata Mara mbili kwa mwaka....tunaonana kwa ajili ya kufurahi,kubadilishana mawazo,kubadilisha mazingira,kupeana michongo na vingine vingi visivyo na madhara.
Tusibaguane wala kuweka matabaka ...Mali ni zetu lakini uhai si Mali yetu bas muda huu tupo hai tutengeneze aman na upendo sisi kwa sisi.Tanzania ni yetu bas tusitengane wandugu.NAWAPENDA SANA!
Sielewagi na mimi ujueWatu wanaogopa kukutana humu!sijui kwa nini!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa sana,nadhan hio ndio nzuri tukutane kin'gombe n'gombe tupige story tuachane,cha msingi wa arrange meeting point basiNa ndio ujiulize kwanini polisi walienda ofisi za jf na kutaka taarifa fulani za wana jf!..!
Jichanganye Sasa uone unavyochanganywa..
Hilo swali langu hapo juu la ming'ombe linamaana sana..[emoji23]
Kilimkuta nin mkuuMuulize Mzigua90 akueleze ubaya wa kukutana
Pale walifunga siku nyingi. Kuna chimbo tutaenda siku liko Kijitonyama nao mkono wa mapishi wanajitahidi[emoji2][emoji2][emoji2]kuna chimbo letu pale kumekucha@Shunie@Mzigua mmewamis mnoo!!!mnooooo!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mimi mkuu natamaniDah!hamna hata anaetamani kukutana na mm [emoji22][emoji22]
Kwahiyo mnataka tukutane akina shangazi wenyewe na wajomba[emoji846]Unachagua tu kundi lako linalokufaa
Mi mwenyewe natamani nikuone wewe hapoWatu wanaogopa kukutana humu!sijui kwa nini!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Nn sasa dea, tukutane hapo bhana lol. [emoji23][emoji23][emoji23]
Aunt mic u saana, sisi tukutane wapi? [emoji4][emoji4][emoji4]Sisi mashangazi tunaangukia wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labuda lakini wengine tushaharibu humu hata usipojitaja Kuna mimtu ambayo shipa la mdomo lishakatika linaweza kukubambikiza jina la mwana jf mwengine..[emoji23]
Bora Mwanza aisee maana Dar si kwa lile jotoHata dar au mwanza kwa mimi ninaependa kutembelea fukwe