Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Upo kimya nini mbaya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo kimya nini mbaya...
Ya osterbay au ya Mkuki Mall...Leo tufanye pizza au unaonaje?
Oysterbay maana ni karibu na nyumbaniYa osterbay au ya Mkuki Mall...
Sawa baada ya hapo tunahamia kwenye Ice Cream pale pembeni...Oysterbay maana ni karibu na nyumbani
Na hii baridi ice cream hapana banaSawa baada ya hapo tunahamia kwenye Ice Cream pale pembeni...
Basi tu mix na mishkaki ya coco...Na hii baridi ice cream hapana bana
Nitaganda ujue
Naomba uje piemu unambie wakubwa wapi hao na wanafaidije😆😆😆😆Basi tu mix na mishkaki ya coco...
Alafu tunaenda kule ukashuhudie wakubwa wanavyofaidi...
Nikusaidie...Nipo nimejilaza nikiwaza MAGAZIJUTO
Wale siku Ile nilikushtua nikakuambia waone hao miguu juu wananesanesa...Naomba uje piemu unambie wakubwa wapi hao na wanafaidije😆😆😆😆
Alafu una tabia mbaya wewe😆😆Wale siku Ile nilikushtua nikakuambia waone hao miguu juu wananesanesa...
Ukabaki Yesu wangu...
Jmosi utaendesha farasi...Alafu una tabia mbaya wewe😆😆
Na sisi tungewaiga tunesenese kama wao au unasemaje?
Acha bas na weweJmosi utaendesha farasi...
Sawa... Ila taratibu pmAcha bas na wewe
Embu njoo piemu
Huku imetosha….
Hahah sawa nitafanya hivoSawa... Ila taratibu pm