WanaJF inatakiwa tuonane jamani

WanaJF inatakiwa tuonane jamani

Sasa ndo bas tena

Kwa hali ya sasa sijui kama wengi wenu mtakuwa na guts za kuonana....nikwambie kuonana na kupiga story live kuna raha yake sana ..mna enjoy...yani wakina max na wenzie wote walikuwa wanahudhuria kabisa!

Tulikuwa tuna enjoy sana...

Umenikumbusha mbali sana

@figaniga @mdengereko Nicas Mtei Heaven on Earth [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Back
Top Bottom