WanaJF inatakiwa tuonane jamani

WanaJF inatakiwa tuonane jamani

Mdogo wako alishaniacha, japo bado ana wivu[emoji23][emoji23][emoji23], basi tutafute mda ili azimio la huyu to yeye lianzie kwetu..[emoji23][emoji23]
Umeachwa Shem? Mbona sina taarifa?
Na mbona bado jina la mwisho hatujabadili?
Haiwezekani? Nyie ndiyo zenu hizo...Kuzinguana, mkirekebisha Mapenzi yanakuwa kama ya Watoto wa 1st year[emoji2]
 
Hahaha, umenichekesha mno shem, jina la mwisho hadi aende Rita na mahakamani ndio ataruhusiwa kubadili.

Kwa kweli mapenzi yetu yamekuwa hivi toka tukiwa wachumba, hadi naanza kuzeeka huyu hanijulii tu[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kumbe mnajijua Shem? Mimi ni nani niingilie? Msubirie tu..Penzi litarudi Mubashara kama kawaida[emoji2]
 
Ngoja niendelee kusubiri, wakati nasubiri inabidi tupange kuonana shem[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom