Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Umeachwa Shem? Mbona sina taarifa?Mdogo wako alishaniacha, japo bado ana wivu[emoji23][emoji23][emoji23], basi tutafute mda ili azimio la huyu to yeye lianzie kwetu..[emoji23][emoji23]
Na mbona bado jina la mwisho hatujabadili?
Haiwezekani? Nyie ndiyo zenu hizo...Kuzinguana, mkirekebisha Mapenzi yanakuwa kama ya Watoto wa 1st year[emoji2]