WanaJF inatakiwa tuonane jamani

WanaJF inatakiwa tuonane jamani

Siyo kwa ubaya bali kwa mema tu...tupange ratiba ya kuonana hata Mara mbili kwa mwaka....tunaonana kwa ajili ya kufurahi,kubadilishana mawazo,kubadilisha mazingira,kupeana michongo na vingine vingi visivyo na madhara.

Tusibaguane wala kuweka matabaka ...Mali ni zetu lakini uhai si Mali yetu bas muda huu tupo hai tutengeneze aman na upendo sisi kwa sisi.Tanzania ni yetu bas tusitengane wandugu.NAWAPENDA SANA!
Panda mwendokasi la kivukoni kwenda kimara mda wa jioni jioni wale abiria wote unaowaona ndio member wa humu[emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom