Pole kwa kuumwa sweetheart, kusafiri kunakutesa hivi kumbe...
Thank you sweetheartโฆPole kwa kuumwa sweetheart, kusafiri kunakutesa hivi kumbe...
Hospitali inakuhusu na hii hali ya hewa ni vichwa tu watu kuumwa...Thank you sweetheartโฆ
Yan sijui imekuaje sijawahi kuumwa hivi.. ila will be fine soon
Pasaka njema na kwako pia cha upole.. upole wako bado unaendelea kuonekana, safi sana.
Yeah umetulia sana tofauti na miaka kadhaa nyuma...Pasaka njema na kwako pia cha upole.. upole wako bado unaendelea kuonekana, safi sana.
Nimetulia eeh!! Mekuwa mtoto mzuriโฆ.. nastahili soda ๐๐
Karibu...Na kwako pia Kamanda ๐คฃ ๐คฃ
Khaaaa๐คฃ๐๐๐๐Tulionana juz mbona wenzio...sema ilikuwa very boring walijaza sana wali kakabeji kiduchuuu๐