WanaJF inatakiwa tuonane jamani

Support. Mi niko kwenye jiji la kizaramo[emoji4]
 
to yeye unaweza come na action plan kwanza mambo yote yawekwe bayani kuwa yeyote atakae taka ku-reveal identity yake ni kwamba atakua amei-reveal at his/her own risk/advantage, Ikiwa na maana kwamba si shuruti mtu kureveal Identity yake.
Next groups za whatsapp zitengenezwe kulingana na mikoa pendekezwa ya kukutana then watu wata join kupitia links husika na baada ya hapo mipango zaidi ya ku-arrange meetup itaendelea.
Mi ni new school wa JF sijawahi udhulia meetup yoyote ya JF, wala kushuhudia arrangement yoyote pia.
Nawasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…