Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ewaa KalumbuSi umalizie tu uyole mwee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ewaa KalumbuSi umalizie tu uyole mwee
Watauwana[emoji23]Itakuwa ni bonge la meeting
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Moto utawaka[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo Bia Yetu hata mimi nikikutana naye atajuta.
Nimekutafuta kwa ile namba yako siipati nadhani umeibadilisha . Nitafute pleaseHataree
Swala la kupanga nakuachia wewe boss wangu.itapendeza sana tukionana aise 😉
Wewe utakutana na mimi sasa
Kumbe ulianzia hapa.
Kunguru Kanyea ugali wa masela😅Kumbe ulianzia hapa.
Nifute akilini mwako 🚶🏻♀️
Support. Mi niko kwenye jiji la kizaramo[emoji4]Siyo kwa ubaya bali kwa mema tu...tupange ratiba ya kuonana hata Mara mbili kwa mwaka....tunaonana kwa ajili ya kufurahi,kubadilishana mawazo,kubadilisha mazingira,kupeana michongo na vingine vingi visivyo na madhara.
Tusibaguane wala kuweka matabaka ...Mali ni zetu lakini uhai si Mali yetu bas muda huu tupo hai tutengeneze aman na upendo sisi kwa sisi.Tanzania ni yetu bas tusitengane wandugu.NAWAPENDA SANA!