WanaJF inatakiwa tuonane jamani

WanaJF inatakiwa tuonane jamani

Depal

Uwe na Pasaka njema cha utundu... Siku hizi umetulia sana, very good...
Pasaka njema na kwako pia cha upole.. upole wako bado unaendelea kuonekana, safi sana.

Nimetulia eeh!! Mekuwa mtoto mzuri….. nastahili soda 😝😝
 
Pasaka njema na kwako pia cha upole.. upole wako bado unaendelea kuonekana, safi sana.

Nimetulia eeh!! Mekuwa mtoto mzuri….. nastahili soda 😝😝
Yeah umetulia sana tofauti na miaka kadhaa nyuma...

Karibu... Ila una number nyingi wewe mtoto, Halotel, Tigo na Voda...
 
Back
Top Bottom