WanaJF, kwa nini tusiweke mpango wa kusaidiana katika matukio mbalimbali

Ni ngumu sana aiseee katika sehemu kama hii yenye watu wa kila aina yaani kuna wazuri, wabaya , matapeli yaani watu wa kila aina wamo humu.

We jitafutie marafiki zako kama ni watano au zaidi wa uhakika ambao mtashibana na hata likitokea jambo haitakuwa ngumu kwao kukusaidia.

Hivyo tu hizo nyingine unazozifikiria hazina tofauti na hadithi za Abunuasi sababu haziwezi zikawa na kufanikiwa pia.
 
Reactions: BAK
K
Kwa umu ndani ni vigumu sana, labda muende kule Whatsapp
 
hongera nadhani lidhika na ulivyonavyo humu ukileta hiyo utajikuta umemchangia hata mkeo kisa kaja na uzi wakufiwa na mumewe
tehe tehe tehe,,,, lets tuungane mimi na wewe
 
tehe tehe tehe,,,, lets tuungane mimi na wewe
hahahahahaaaaa mi siwezi maana waweza yataman matatizo yaje baada ya kuhisi unaibiwa maana mwaka mzima unawachangia wenzako we hupati tatizo mi nafikr utafute anayepata pata matatizo coz mi Mwenyezi Mungu kanitenga mbali na matatizo na Mshukuru sana kwa hilo
 
hapo ndipo unapo fanya kufuru,, hakuna mwanadamu asie na tatizo hata la kujikojolea
 
Mkuu avatar yako inaonesha kama vile wewe ni chakula[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Wewe usijidanganye!!

Unataka watu walizwe ee... Humu Kuna kila dizaini ya watu na ID zao ni fake sasa kufanya hayo uliyayaandika hapo Utaanzia wapi na kwa yupi ambae unamjua

Japo wapo ambao wanajuana lakini ni wachache sana
 
Humu.kuna matapeli kuliko unavyofikiria....
 
Mkuu kwani huna magroup ya whatsup? Au hayatoshi? Na mbona kama una nywele za kike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…