WanaJF, kwa nini tusiweke mpango wa kusaidiana katika matukio mbalimbali

Mkuu kwani huna magroup ya whatsup? Au hayatoshi? Na mbona kama una nywele za kike?
nipe tofauti ya nywele za kike na za kiume kwa kuzitazama. wapi nywele huandikwa kua ni za kike au za kiume
 
sure
 
Wazo lako ni zuri na wengine tumefanikiwa hilo kupitia groups kwakua huko hatutumii I'd zetu hizi za jf so inakua rahisi kujenga urafiki na undugu wa karibu
 
Kujuana tena hapo mnatutafuta kiaina.Hayo yapo kwenye magrupu yetu fb,wasap na mitaani yanatutosha.
Unataka kufyeka kichaka wewe.
yaani misitu ya congo anataka igeuke kuwe kama singida! j
 
Wazo lako ni zuri na wengine tumefanikiwa hilo kupitia groups kwakua huko hatutumii I'd zetu hizi za jf so inakua rahisi kujenga urafiki na undugu wa karibu
niunga nishe na mim huko em
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…