WanaJF naomba kukumbushwa; zawadi nono kupitia M-PESA, Tigo Pesa, au Airtel Money kwa atakae patia

Umewakamata kama ulivyotaka,naona una enjoy tu comments zao na kuzipa rate.

Na hii inaonyesha ukiandika lolote lile utapata tu comments that's mitandao ya mawasiliano ilivyo duniani.

Waiting to see another chemsha bongo.
Asante kwa mtanzamo wako, shiriki unaweza kuwa mshindi na matokeo yatatangazwa hapa
 
ulikuwa unatarajia kutoa tsh 50000 kwa member mmoja muda mfupi ujao hapa jamiiforums.
 
umechukua kompyuta yako ili ufanye kazi flan eitherusome na kutuma emails kadhaa za kiofisi,au kuna movie ulitaka uicheki/download lakini gafla ukasema uchungulie jf kidogo.ndipo ukasahau.

kama nimeshindwa basi kwaher
 
Ulitaka kutuma message muhimu badala yake ukaingia jamii forum
 
Duuuuuuh!!! hii kali

Kwanza nimpongeze baba Jesca Kwa utendaji wake mzuri wa kaz
Naona pesa imeanza kurudisha heshima yake.
Naona raia Wanavyokazana kubashiri wanatumia fursa vizuri ili wajinyakulie 50,000/=

Wazo zuri Wamjengoni naona unakusanya takwimu za Watz walioathiriwa na mfumo wa baba jesca wa kubana matumiz
Na kwa hilo umeweza

Good job Wamjengoni.
 
Ulikuwa unataka kukumbuka kitu ulichokuwa unataka kukifanya hivyo ukasahau.
 
Hizi bando mnazojiunga baada ya kukusanya vile vichenchi chenchi mkitumwa Nazi gengeni ndio mnatuharibia JF siku hizi kwa hivi vithread visivyokua na kichwa wala miguu.
 
Jamaa ulitaka 1.kuangalia kama wewe nawe upo kwenye list ya wadaiwa sugu,sasa kabla hujaenda jukwaa la Elimu,ukaingia habari mchanganyiko.Ukasahau.2.ulitaka kujaribu nguo mpya uliyonunua.Kama sijapatia basi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…