WanaJF, Nawaahidi mashahidi wa Siri wa serikali tutawaweka wazi taarifa zao baada tu ya kutoka kutoa ushahidi

Fake news kutoka kwa nyumbu,aliye nyuma ya wakati,mtoto anahusika vipi,ndio kutetea hski za binadamu,kuingiza watoto wasio na hatia.
 
Sasa ulivyoweka mtoto wake na shule anayosoma mtoto wake lengo lako lilikua nini au mtoto anahusikaje hapo?
Nyumbu huyo,halafi wanasema hao,nyumbu wanatetea haki za binadamu,huyo mtoto anahusika na nini.Nyumbu wana tabu sana.
 
Kufanya hivyo inaweza kutafsiriwa kama umevunja sheria.
 
Ngoja niweke uzi huu
 
Nyumbu huyo,halafi wanasema hao,nyumbu wanatetea haki za binadamu,huyo mtoto anahusika na nini.Nyumbu wana tabu sana.
Wewe ni pumbavu fulani lililomezeshwa UZEZETA wa ccm.
Na dada yake polepole alihusika na nini mpaka mkaenda kumteka?. Wewe ni nyani usieona kundule lako. Na bado mkamfuata na mama yake. Walihusikaje kwenye ishu ya polepole?.
Vile vile Kama mlivyomuhusisha dada yake polepole na huyo mpuuzi watoto wake watahusishwa pia.
Wana watapatilizwa maovu ya baba zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…