Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Yaani Jamaa kaenda Likizo siku kadhaa tu lakini karudi ule weusi wote umeisha, kawa mweupe peee huku mwili ukiwa umepukutika kama vile anavyotuelekeza Profesa Janabi yaani, Daaah!!
Nawaomba wanaJF wenzangu nendeni likizo ili mkirudi mng'are huku vitambi vikiwa vishawaporomoka, kwani hamtaki kupungua hii miili yenu ili muwe sawa kiafya?
Nawaomba wanaJF wenzangu nendeni likizo ili mkirudi mng'are huku vitambi vikiwa vishawaporomoka, kwani hamtaki kupungua hii miili yenu ili muwe sawa kiafya?