WanaJF Nendeni likizo ili na nyinyi mrudi kazini mkiwa Weupe

WanaJF Nendeni likizo ili na nyinyi mrudi kazini mkiwa Weupe

Yaani Jamaa kaenda Likizo siku kadhaa tu lakini karudi ule weusi wote umeisha, kawa mweupe peee huku mwili ukiwa umepukutika kama vile anavyotuelekeza Profesa Janabi yaani, Daaah!!

Nawaomba wanaJF wenzangu nendeni likizo ili mkirudi mng'are huku vitambi vikiwa vishawaporomoka, kwani hamtaki kupungua hii miili yenu ili muwe sawa kiafya?
Ulita afe imeshindikana,roho inakuuma kwelikweli, maelezo yako yanaakisi wewe ni mtoto wa single mother
 
Ila wajinga wenzenu wakibwatuka mbowe ni mlevi wa konyagi ndio mnaona ni hoja za msingi.
Huwa pia sifuatilii wanaoongea vitu visivyo na afya dhidi ya yeyote. Mimi naamini katika kulinda haki ya utu wa mtu bila kujali itikadi.
 
Back
Top Bottom