WanaJF Nendeni likizo ili na nyinyi mrudi kazini mkiwa Weupe


Duuh mpe pole sana ,inaonekana alipigwa na kitu kizito.....Hata Jammie Foxx alivyoumwa na kurudi alikuwa mweupe balaa possible kwasababu ya kushinda ndani muda mrefu pasipo kuunguzwa na jua(ukipigwa na jua ngozi inagenerate melanin kukulinda na UV ambayo ndiyo inaleta wuesi).
 
Kama
Kama ndio hivyo basi likizo kamwe siendi 😂😂😂
 
😆😆😆😆, Asante mtaalam
 
Mkuu makonda iko gonjwa nimemchunguza sekunde 10 nimegundua anayumba Yumba hawezi simama straight
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…