WanaJF tunaomuunga mkono Magufuli njooni tukutane hapa

Sukumeni gari hilo hapo maana mnapenda kujipendekeza!
imageuploadedbyjamiiforums1449490018-211797-jpg.309622
Ili gari la hayati filikunjombe
 
[HASHTAG]#mabashite[/HASHTAG] wote nawaona

Vita dhidi ya mafisadi, dawa za kulevya, wahujumu uchumi, wizi, kusimamia haki za wananchi hakika ; haijawahi kumuacha mtu salama.

Ila, tukiwa na Rais wetu ambaye ni shupavu, mpenda amani, msikivu, mtetezi wa wote, na Mkombozi wa uchumi wa Tanzania tutashinda daima.
 
tunamtaka huyo fisadi aliyenunua kivuko kibovu na mla rambirambi tumpeleke kwenye mahakama ya mafisadi.
 
Vijana Wenye akili Nyumbu wa Lumumba ukitaka wafanye chochote wako radhi
 
Vita dhidi ya mafisadi, dawa za kulevya, wahujumu uchumi, wizi, kusimamia haki za wananchi hakika ; haijawahi kumuacha mtu salama.

Ila, tukiwa na Rais wetu ambaye ni shupavu, mpenda amani, msikivu, mtetezi wa wote, na Mkombozi wa uchumi wa Tanzania tutashinda daima.
Anatetea wote ila siyo wanafunzi wenye mimba na wazee walemavu( specifically poster)
 
Andaa vibali

Tukiwa upande wa rais wetu, hatuhitaji hata kipande cha chaki au pencil ili kuandika barua ya kuomba kibali.
Yaani, hapa kazi tu, siasa pelekeni nyumbani kwenu hadi 2025

Moving to a better future and stable economy with Dr. Magufuli, The hero of African renaissance!!
 
Anatetea wote ila siyo wanafunzi wenye mimba na wazee walemavu( specifically poster)

Hata Dr. JK aliwahi kusema kuwa "Wanapata ... Kwa Viherehere Vyao "

Walipelekwa shule kusoma au kuvua sketi na pichu!?
Mchuma janga hula na wakao.
 
Ndio maana tangu nianze kupata ufahamu sijawahi ona/kusikia mtoto wa kigogo/tajiri/rais/mbunge/waziri/ kiongozi wa juu wa serikali wa nchi yeyote amepata mimba katika umri mdogo.

Kaa ufikirie usiku huu hakuna makelele utapata majibu shekhe!
 
Kwanza, nianzie na ulipo malizia "Mimi siyo mfuasi wa dini uchwara yoyote ile ya kigeni, hivyo Mimi siyo Shekhe. Imamu wala Padri Sijui mara ooo ooooh nabii na mtume na Pastor.
Tengua hiyo kauli.

Ok, back to business, mimba asilimia zote ni Viherehere vyao.

Mfano, mtoto home uchumi mzuri bado anatoroka hadi usiku hicho siyo kiherehere ni nini!?

Walio na uchumi mmbaya hao nao ni majanga.

Wale watoto wa viongozi wanapewa maangalizo na ulinzi wa kutosha
 
Hivi hizi shule mlikuwa mnasomea kwenye miembe juu? Sasa mleta Uzi tumunge magufuli kwa kipi? Maana kuna mengine hatuyaungi, mengine tunaunga, kama lile la mimba!!!! Which is which? Nendeni shule mpate maarifa
Wewe ndiye uliyesomea kwenye mwembe juu. Mtoa mada yuko very specific, kwamba WANAO MUUNGA mkono mkono RAIS Magufuli, ndio wajitokeze. Sasa ww kama humuungi, Mada hiyo si yako waachie wahusika.
 
Kwanza, nianzie na ulipo malizia "Mimi siyo mfuasi wa dini uchwara yoyote ile ya kigeni, hivyo Mimi siyo Shekhe. Imamu wala Padri Sijui mara ooo ooooh nabii na mtume na Pastor.
Tengua hiyo kauli.

Ok, back to business, mimba asilimia zote ni Viherehere vyao.

Mfano, mtoto home uchumi mzuri bado anatoroka hadi usiku hicho siyo kiherehere ni nini!?

Walio na uchumi mmbaya hao nao ni majanga.

Wale watoto wa viongozi wanapewa maangalizo na ulinzi wa kutosha
Ndo maana nikasema kwa vile ni usiku kumetulia utaleta majibu haraka, mwanzo umeanza na porojo ila jibu umeandika mstari wa mwisho. Asante kwa kuelewa chanzo cha hizo mimba kwa hao watoto wa maskini.

Sasa tuje kwenye usuluhisho/ njia ya kutatua tatizo sisi kama maana kukimbia tatizo siyo njia ya kutatua tatizo.

Toa njia/ mbinu itakayotumika kuwanusuru hawa watoto wa masikini kama ulivojibu chanzo cha wao kupata mimba umeshakibaini si kwamba wao wana genye sana kuliko watoto wa upande wa pili.
 
Back
Top Bottom