WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Hawa mods sio watu wema kumbe...

Morning Madam B... Mie niko poaa... Pole na mteguko bhana...

Hao members wakupendana wako busy na maisha!!!!
 
Madame B mie niliondoka mwenyewe Shunie nilimuacha hapa hapa
 
espy....nilikuwa kwenye mnuso wa kibabe.
Ilibidi mikoba yote niiache kwanza, nisije kabwa na mfupa wa kuku.
Bonny tangu tulivuoachana mchana....ndo kimoja.
au kaondoka na Shunie....maana jana waliaga pamoja
Hivi Madame B hyo minuso mbona unaenda peke yako lakin uwe unachukua na ndugu zako mialiko yako asubh kwenye mazoez ukishatoka kwenye daku
 
Hawa mods sio watu wema kumbe...

Morning Madam B... Mie niko poaa... Pole na mteguko bhana...

Hao members wakupendana wako busy na maisha!!!!
Sio watu wema hara kidogo aisee.
Morning.
Nakwambia wako busy wanapendana huko waliko.
Ngoja tuwasubiri kama watarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…