Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Aisee mie nitapambana naoHahaa. Jamani eti ujana mtamu zaidi ila saa nyingine uzee hauzuiliki my wi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee mie nitapambana naoHahaa. Jamani eti ujana mtamu zaidi ila saa nyingine uzee hauzuiliki my wi
Ooooh Thanks Sana Sakayo [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Baby J
Ukiona hivo mkono wako mfupiYaan mi sipendwi au?? Kwel najua yule mwanamke niliemuacha ndio kanilogezea,,nipenden na mimiiiiiii khaaaa[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Hawa mods sio watu wema kumbe...Morning my dear Sakayo
Juzi usiku wakati nalinda jukwaa nilihisi kuna utofauti.
Na kweli nikakuta baadhi ya comments hazipo
Si unajua wakishiba/akishiba futari ndio macho yanafunguka?....asa nahisi alishapiga futari na daku ndio akaona
Samtaim majanga hawa.
espy naona bado kakumbatiwa na MO11.
Shunie na Bonny nahisi waliondoka muda mmoja, sikuwaona ghafla.
Maserati sikumtia machono kutwa jana....sijui alikuwa wapi.
Nalendwa nilimuona usiku wa manane, itakuwa bado kalala tu.
Daby aliondoka na Valentina, maana niliona mzozo wamekamatana jukwaa gani sijui.
Wifi Khantwe....kaniamshie kaka yako, mwambie kumekucha, nataka niende gengeni.
Yo Welcome baby J...Ooooh Thanks Sana Sakayo [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Madame B mie niliondoka mwenyewe Shunie nilimuacha hapa hapaMorning my dear Sakayo
Juzi usiku wakati nalinda jukwaa nilihisi kuna utofauti.
Na kweli nikakuta baadhi ya comments hazipo
Si unajua wakishiba/akishiba futari ndio macho yanafunguka?....asa nahisi alishapiga futari na daku ndio akaona
Samtaim majanga hawa.
espy naona bado kakumbatiwa na MO11.
Shunie na Bonny nahisi waliondoka muda mmoja, sikuwaona ghafla.
Maserati sikumtia machono kutwa jana....sijui alikuwa wapi.
Nalendwa nilimuona usiku wa manane, itakuwa bado kalala tu.
Daby aliondoka na Valentina, maana niliona mzozo wamekamatana jukwaa gani sijui.
Wifi Khantwe....kaniamshie kaka yako, mwambie kumekucha, nataka niende gengeni.
Ha ha ha ha unafikr jamaa anahongeka yule kwel sidhan
Ha ha ha sikuwa na hata mmoja wao jiran mie nilikuwa kwenye maombiMie ndio kuitwa aunty nilishasahau kabisaaaa maana hali si hali.
Jirani yangu Bonny sijui kajificha wapi na Madame B sijui Heaven Sent maana huwa wanakuja pamoja na kupotea pamoja.
Hivi Madame B hyo minuso mbona unaenda peke yako lakin uwe unachukua na ndugu zako mialiko yako asubh kwenye mazoez ukishatoka kwenye daku
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] hakuna namna watajuana mbele kwa mbeleUmpende MTU usiyemjua,acheni mambo ya ajabu
Nakupenda ww hapo
Sio watu wema hara kidogo aisee.Hawa mods sio watu wema kumbe...
Morning Madam B... Mie niko poaa... Pole na mteguko bhana...
Hao members wakupendana wako busy na maisha!!!!