Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Love Katuni wengine ndokwanzaaa nawaona leo sijui wametokea wapi.. Wapuuzie tu my king
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha
Yaani wewe na Ray mmenifanya nishindwe kufuturu kwa cheko...
Mpaka espy kapewa ban sababu yenuu
Kwani we Noah yako utaipeleka wapiKwan unafikr nna jengne nataka lift tu mie
nimepaliwa huna majiVp mama
Kwani we Noah yako utaipeleka wapi
nimepaliwa huna maji
Nimewakuta kwenye ule uzi wa asubuhi wanasali wasipewe ban, yaani nimecheka mpaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vurugu tumezoea sie yaan kama nimekuonaMie mpole sana c unajua
Kwenye ule uzi bhanaHeee. Sina habari my wi
usiniambie basi nichagulie na mie kila kitu chako ndio changuNasikia unaanza kuchagua rangi kwanza
nataka mma tuHe he he nna heinken
Shangazi yako mbishi, kwenye ule uzi wa asubuhi bhana.... Alikuwa aganda pale pale anachat tuuwapi huko mpaka shangazi
hahhahah kwahiyo ule uzi ndio umeondoka na kina shangaziNimewakuta kwenye ule uzi wa asubuhi wanasali wasipewe ban, yaani nimecheka mpaka
na wewe umenusurika vipiii ujue nilikuwa nakuangalia tuShangazi yako mbishi, kwenye ule uzi wa asubuhi bhana.... Alikuwa aganda pale pale anachat tuu
Sasa mbona nyie mmebaki mwenzenu ndo ivo tenaSie tulikua tunamfariji jaman tunashow love haswaa
Sasa huyo utakaemuhonga akupe tu liftKuna mtu namuhonga walah
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vurugu tumezoea sie yaan kama nimekuona
Ooohusiniambie basi nichagulie na mie kila kitu chako ndio changu
Hahahahahhahah kwahiyo ule uzi ndio umeondoka na kina shangazi