Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nzuri shemZa muda huu shemeji
Nakuona bwana. Nakukumbusha tu leo ni siku ya kina babaNzuri shem
Nawapenda kina baba woote wenye majukumu....Nakuona bwana. Nakukumbusha tu leo ni siku ya kina baba
Nakupenda too. Mie pia nawapenda wamama wote sibaguiNawapenda kina baba woote wenye majukumu....
Hivi we ni mbaba au mwanaumeNakupenda too. Mie pia nawapenda wamama wote sibagui
mahondaw wangu.. Ashukuriwe mleta uzi... Jana kwenye pita pita nimeona uzi watu wanalalamikia wapendanao...
Mbaba qualifications zake ni zipi ili nijichunguze inawezekana mimi mbabu piaHivi we ni mbaba au mwanaume
Kwanzaa awe na mke halali... Pili awe na angalau mtoto mmojaMbaba qualifications zake ni zipi ili nijichunguze inawezekana mimi mbabu pia
Viuno vyao viko hoi bin taabani vinatoa hewa tu sasa hivi[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Haha!, eti bado wamefungiwa viunoni. Wavitunze tu hivyo viuno ili watoto watoke salama. [emoji2]
MmmmhViuno vyao viko hoi bin taabani vinatoa hewa tu sasa hivi[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hivi yaliyomo yamo kweli kaka yangu!!! Yaani mizunguko yoooooooote hata wa kukutishia tu hamna[emoji134] [emoji134] [emoji134]Abomination
Life is too short to hate and to care abt shits kwakweli.Shangaa na wewe anti
Kwa hiyo wanaionaje yakhee.Kwanzaa awe na mke halali... Pili awe na angalau mtoto mmoja
May they RIP in advance.Wakufwee tuu
Mbona nilishatikisa nyavu siku nyingiHivi yaliyomo yamo kweli kaka yangu!!! Yaani mizunguko yoooooooote hata wa kukutishia tu hamna[emoji134] [emoji134] [emoji134]
vipi tena mkuuDah..!
nikajua upo kwenye kwaitoNipo mdogo wangu...
Leo nimelala mpaka sina hamu