Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Welcome to the Paradise Chakoriii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Welcome to the Paradise Chakoriii
Si ninaona anavyonifanyia...Kwahyo mkuu wewe umechokwa na unallijua hilo right?
No hakuna ugomvi bhana.kwani kunasehemu tumegombana jmniHeee hv kuna ugomvi wa besidei tena?
Bas kama amekuchoka usilazimishe maana hata mie atakuja kunchoka then atarud kwako so kuwa mpole tuSi ninaona anavyonifanyia...
Hebu taja hata sketi mbili unazo zijua...
Hahahahaha inamaana umezisahau baba mapema yote hii.nitamwita mtu hapa ohoooooHebu taja hata sketi mbili unazo zijua...
Ngoja athibitishe hapa mwenyewe kama hanitaki ili njue..Bas kama amekuchoka usilazimishe maana hata mie atakuja kunchoka then atarud kwako so kuwa mpole tu
Mkuu wewe thomaso enhee?Ngoja athibitishe hapa mwenyewe kama hanitaki ili njue..
Nimekwambia taja hapa. Jiamimini mamaa.Hahahahaha inamaana umezisahau baba mapema yote hii.nitamwita mtu hapa ohooooo
Ha ha ha ha naona unataka kulipiza kisas kwa kupitia mim kama ni hvyo najitoa mashindanonMbn unapoteza kujiamini aiseeh.unanitia wasiwasi aki tena.
Jiamini bhana.tuunganike kwa pamoja tufanye mapinduzi kwa huyu mtu
Kwahiyo unataka unipindue?
Utaniletea kinini chako sijui naogopa kukuagaKwahiyo unataka unipindue?
Dai uhuru wako kwa amani nitakupatia usitumie vita..
Sema hapa tu Ray sikutaki nitaridhia..