WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Bonny asikutishe huyu bhana.kwanini usiseme "But I really LOVE women"!!!

Maskini wee unatia huruma kweli.yani mawazo wangu yooooooote nilijua uataibuka na povu.kumbe ile besidei imekukuza ee..homgera bhana
Heee hv kuna ugomvi wa besidei tena?
 
Mbn unapoteza kujiamini aiseeh.unanitia wasiwasi aki tena.

Jiamini bhana.tuunganike kwa pamoja tufanye mapinduzi kwa huyu mtu
Ha ha ha ha naona unataka kulipiza kisas kwa kupitia mim kama ni hvyo najitoa mashindanon
 
Ha ha ha ha naona unataka kulipiza kisas kwa kupitia mim kama ni hvyo najitoa mashindanon
Hahahahaha kumbe unamaanisha.loh!
Bonny hakuna chochote kinachoendelea kati yangu mimi Mondray mimi na mond ni marafiki wa kawaida kabisa.hilo naliweka wazi

Tuendelee na utani
 
Back
Top Bottom