WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

duuuuh nisije sema au taja jina la mtu humu kumbe kwa upande mwingne nikawa naharibu mahusiano yake especially kwa opp sex,

Let me generalize this by saying that,
i love you all jf memberz no matter what...
 
Morning my dear Sakayo

Juzi usiku wakati nalinda jukwaa nilihisi kuna utofauti.
Na kweli nikakuta baadhi ya comments hazipo

Si unajua wakishiba/akishiba futari ndio macho yanafunguka?....asa nahisi alishapiga futari na daku ndio akaona
Samtaim majanga hawa.

espy naona bado kakumbatiwa na MO11.
Shunie na Bonny nahisi waliondoka muda mmoja, sikuwaona ghafla.
Maserati sikumtia machono kutwa jana....sijui alikuwa wapi.
Nalendwa nilimuona usiku wa manane, itakuwa bado kalala tu.
Daby aliondoka na Valentina, maana niliona mzozo wamekamatana jukwaa gani sijui.

Wifi Khantwe....kaniamshie kaka yako, mwambie kumekucha, nataka niende gengeni.
Nipo lakini Jana sikuingia Hapa kwa hii Uzi. Nipo kipenzi Madame B
 
duuuuh nisije sema au taja jina la mtu humu kumbe kwa upande mwingne nikawa naharibu mahusiano yake especially kwa opp sex,

Let me generalize this by saying that,
i love you all jf memberz no matter what...
Wewe jamaa unafanya kazi coral paint?
 
Back
Top Bottom