Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,951
- 9,878
Mondray acha kutishia wenzako! Wewe si tuliachana! Ukaenda kwa nani sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mondray acha kutishia wenzako! Wewe si tuliachana! Ukaenda kwa nani sijui
Mama yangu!!mliachana tena????mama weeee mond hawezekaniki aki tenaMondray acha kutishia wenzako! Wewe si tuliachana! Ukaenda kwa nani sijui
Kicheche sanaMama yangu!!mliachana tena????mama weeee mond hawezekaniki aki tena
Nimesema neno gani hapo?Asante sana mrembo wangu maisha..hakika umesema neno moja tuu na roho yangu imepona
Cc😛aprika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] yaani kusema tu mlishaachana na mheshimiwa.Roho yangu imepona najua nafasi yangu ipo
Sio vzr kusema uongoMondray acha kutishia wenzako! Wewe si tuliachana! Ukaenda kwa nani sijui
Hahahah braza brazaHaha hata ambao hawana pesa?
Nishtue na Mimi kwenye mnuso hukoBasi wewe tulia.
Keshokutwa nina mnuso....tastuana.
Nipo lakini Jana sikuingia Hapa kwa hii Uzi. Nipo kipenzi Madame BMorning my dear Sakayo
Juzi usiku wakati nalinda jukwaa nilihisi kuna utofauti.
Na kweli nikakuta baadhi ya comments hazipo
Si unajua wakishiba/akishiba futari ndio macho yanafunguka?....asa nahisi alishapiga futari na daku ndio akaona
Samtaim majanga hawa.
espy naona bado kakumbatiwa na MO11.
Shunie na Bonny nahisi waliondoka muda mmoja, sikuwaona ghafla.
Maserati sikumtia machono kutwa jana....sijui alikuwa wapi.
Nalendwa nilimuona usiku wa manane, itakuwa bado kalala tu.
Daby aliondoka na Valentina, maana niliona mzozo wamekamatana jukwaa gani sijui.
Wifi Khantwe....kaniamshie kaka yako, mwambie kumekucha, nataka niende gengeni.
Wewe jamaa unafanya kazi coral paint?duuuuh nisije sema au taja jina la mtu humu kumbe kwa upande mwingne nikawa naharibu mahusiano yake especially kwa opp sex,
Let me generalize this by saying that,
i love you all jf memberz no matter what...