WanaJF wa Dom mko wap?...i SnowBall nipo hapa makao makuu.....

SnowBall

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
3,052
Reaction score
2,846
Chit chatters mpo?
Najua JF ni Chama kubwa na ninaamini hata hapa Idodomya members wapo.
Binafsi nimeingia mji huu na ntakuwepo kwa muda...kama vipi Hebu tutafutaneni ili tubadilishane mawazo na kufahamiana...... JF forever and can't wait to meet my fellow members from JF......
 
Hahahahahaha!
Ukirudi Dar nijulishe ili nije nikupokee kibaha,usisahu kuku na karanga lol!
 
Mitaa ya kati karibu na CCM makao makuu?
Ngoja nimpigie M.Nchemba maana utakua umetumwa na babu Slaa!

hahahaha....mkuu mbona mie na sihasa mbalimbali...
Hapa nilipo ni jirani tu na CCM headquarters na si vinginevyo...
 
We subiri vitu vyenye ncha kali vitakushukia soon hapo mpaka uione dom chungu!
 
Chit chatters mpo?
Najua JF ni Chama kubwa na ninaamini hata hapa Idodomya members wapo.
Binafsi nimeingia mji huu na ntakuwepo kwa muda...kama vipi Hebu tutafutaneni ili tubadilishane mawazo na kufahamiana...... JF forever and can't wait to meet my fellow members from JF......

Sikujua kama na wewe ni mheshimiwa mbunge...
 
Back
Top Bottom