mie nipo... cha msingi uwe tayari kunitimizia mahitaji yangu tu lolz... Usije huku ukaanza kusema ... neggirl ananipiga mizinga... kwi kwiiiiii!
best upaparazi umeanza lini
majukumu tu pacha wangu but nipo mwaya
karibu tule kuku hapa Idodomya
lolz....wataka nini sasa?
eti ehn!Kwiiii kwiiii kwiiiii
sasa kuku si ndo firigisi zenyewe?
nakupm mkuu @C6
Chit chatters mpo?
Najua JF ni Chama kubwa na ninaamini hata hapa Idodomya members wapo.
Binafsi nimeingia mji huu na ntakuwepo kwa muda...kama vipi Hebu tutafutaneni ili tubadilishane mawazo na kufahamiana...... JF forever and can't wait to meet my fellow members from JF......