Nipo mitaa ya Kati karibu na CCM makao makuu..
Wewe uko wapi ndugu yangu?
Mitaa ya kati karibu na CCM makao makuu?
Ngoja nimpigie M.Nchemba maana utakua umetumwa na babu Slaa!
Kwi kwi ni sa8 huyo nn?
hahahaha....mkuu mbona mie na sihasa mbalimbali...
Hapa nilipo ni jirani tu na CCM headquarters na si vinginevyo...
Bora nimekupata wewe
Fanya basi mchakato tukutane...
Itakua mkuu!
Chit chatters mpo?
Najua JF ni Chama kubwa na ninaamini hata hapa Idodomya members wapo.
Binafsi nimeingia mji huu na ntakuwepo kwa muda...kama vipi Hebu tutafutaneni ili tubadilishane mawazo na kufahamiana...... JF forever and can't wait to meet my fellow members from JF......