WanaJF wafuatao wanastahili tuzo ya uvumilivu kwa kutoyumbishwa na mashambulizi kila wanapopost nyuzi zao

Hana uvumilivu. Anatukana hatari
Kuanzia sasa ukiona Natukana tena Katambike Kijijini Kwenu Ikupilipu Nkoba Mkuu sawa? Nimeshapata Dawa yao ambayo ni BAN tu hadi wajifunze Kujiheshimu hapa JamiiForums. Nasisitiza tena kuanzia sasa ukiona tena namjibu Mtu kwa Matusi mliyoyazoea Katambike Kijijini Kwake Kyaka Nkunde sawa Mkuu?
 
Masahihisho: Erythrocyte hajawahi kuwa mfuasi wa Mbowe, Ni mfuasi wa Chadema, ni mwandishi wa Jf anayehusika na siasa, na huwezi kuhusika na siasa za Tanzania bila kutaja Chadema.

Kwahiyo kuniita Mfuasi Binafsi wa Mbowe ni ama umeamua kunidhalilisha kama walivyonifanyia mamluki wengi wa ccm au umeamua kupotosha makusudi
 
Wapatiwe tuzo kama ifuatavyo,m
Mzee P apewe ubunge kawe,Erythrocyte apewe ubunge Ubungo,Faiza na Luca wapewe ujumbe wa nyumba kumi hapo ilala🤣
 
Ha ha ha. Hivi shule zimefungwa tayari wakuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…