Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matongee,Tofauti kabisa na kina Malisa GJ, Maria Sarungi au Martin Maranja ambao hawana kabisa uvumilivu kwa yeyote atakayekuwa kinyume na mawazo yao hawa wanaJF wanapaswa kutunukiwa tuzo za uvumilivu kwa kutojali mashambulizi ya watu pale wanapopost nyuzi.
1. ERYTHROCYTE
Huyu mfuasi kindakindaki wa chama cha Mbowe ni mfano wa kuigwa kwenye ulimwengu wa demokrasia. Huyu ni mtu aliyekula kiapo cha utiifu kwa mwenyekiti wa chama chake kiasi kwamba post zake nyingi huwa ni kumsifu chairman. WanaCCM wamekuwa wakimwandama kwa hoja na baadhi kutumia lugha za kuudhi ila huyu mfuasi wa Mbowe hajawahi rudi nyuma.
2. BIBI FAIZA FOXY
Bibi yetu ambaye inasemekana ndo alikuwa Slayqueen wa enzi za TANU, yaani nchi inapata uhuru yeye tayari kashakula nauli za wakoloni kadhaa.. sio poa. Ni bibi mahiri sana kwenye hoja zake ila wananchi wengi hukwazwa sana na chembechembe za udini alizo nazo. Mwisho wa siku bibi Faiza ni mtu asiyetishwa na maneno ya kumkatisha tamaa kwenye anachoamini.
3. MZEE PASCAL MAYALLA.
Mzee wetu ni muumini mzuri wa sheria ya KARMA. Huamini kabisa hakuna baya utakalofanya halafu karma isitimize wajibu wake wa kukuadhibu. Ila huwa najiuliza KARMA huwa inasahau anwani ya CCM au huwa inakumbuka ila CCM humpatia Karma ka-takrima kisha Karma kupotezea? Tangu nimezaliwa ninasikia CCM ikilaumiwa sana. Mzee Pascal ni mtu mwenye uzoefu mkubwa wa kufeli kwenye kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Criticism dhidi yake sio ya kitoto ila huyu dingii haterereki.
4. MZEE MOHAMED SAID
Mzee wetu ni miongoni mwa watu wachache wanaojua mambo mengi sana ya nchi yetu. Ila yeye kaamua kujizima data na kulazimisha kuwa bila familia ya Sykes hii Tanzania isingekua hivi. Kuwa kina Sykes ndo kama waliibeba TZ mabegani na kuhakikisha inapata uhuru. Huwezi mwelezea mtu mdini usimtaje huyu mzee wetu. Pamoja na yote bado mzee wetu ana ngozi ngumu sana. Hayumbishwi kwenye ishu zake za udini.
5. LUCAS MWASHAMBWA
Huyu jombi ndo staa mkubwa kwa sasa wa JF. Jamaa huwa anabubujikwa sana na machozi kila Mama Samia akiongea chochote. Mwenyewe hujiita kijana mzalendo ila wengi wanamshambulia kwa kumwita chawa.
Hii List Bila GENTAMYCINE ni BatiliTofauti kabisa na kina Malisa GJ, Maria Sarungi au Martin Maranja ambao hawana kabisa uvumilivu kwa yeyote atakayekuwa kinyume na mawazo yao hawa wanaJF wanapaswa kutunukiwa tuzo za uvumilivu kwa kutojali mashambulizi ya watu pale wanapopost nyuzi.
1. ERYTHROCYTE
Huyu mfuasi kindakindaki wa chama cha Mbowe ni mfano wa kuigwa kwenye ulimwengu wa demokrasia. Huyu ni mtu aliyekula kiapo cha utiifu kwa mwenyekiti wa chama chake kiasi kwamba post zake nyingi huwa ni kumsifu chairman. WanaCCM wamekuwa wakimwandama kwa hoja na baadhi kutumia lugha za kuudhi ila huyu mfuasi wa Mbowe hajawahi rudi nyuma.
2. BIBI FAIZA FOXY
Bibi yetu ambaye inasemekana ndo alikuwa Slayqueen wa enzi za TANU, yaani nchi inapata uhuru yeye tayari kashakula nauli za wakoloni kadhaa.. sio poa. Ni bibi mahiri sana kwenye hoja zake ila wananchi wengi hukwazwa sana na chembechembe za udini alizo nazo. Mwisho wa siku bibi Faiza ni mtu asiyetishwa na maneno ya kumkatisha tamaa kwenye anachoamini.
3. MZEE PASCAL MAYALLA.
Mzee wetu ni muumini mzuri wa sheria ya KARMA. Huamini kabisa hakuna baya utakalofanya halafu karma isitimize wajibu wake wa kukuadhibu. Ila huwa najiuliza KARMA huwa inasahau anwani ya CCM au huwa inakumbuka ila CCM humpatia Karma ka-takrima kisha Karma kupotezea? Tangu nimezaliwa ninasikia CCM ikilaumiwa sana. Mzee Pascal ni mtu mwenye uzoefu mkubwa wa kufeli kwenye kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Criticism dhidi yake sio ya kitoto ila huyu dingii haterereki.
4. MZEE MOHAMED SAID
Mzee wetu ni miongoni mwa watu wachache wanaojua mambo mengi sana ya nchi yetu. Ila yeye kaamua kujizima data na kulazimisha kuwa bila familia ya Sykes hii Tanzania isingekua hivi. Kuwa kina Sykes ndo kama waliibeba TZ mabegani na kuhakikisha inapata uhuru. Huwezi mwelezea mtu mdini usimtaje huyu mzee wetu. Pamoja na yote bado mzee wetu ana ngozi ngumu sana. Hayumbishwi kwenye ishu zake za udini.
5. LUCAS MWASHAMBWA
Huyu jombi ndo staa mkubwa kwa sasa wa JF. Jamaa huwa anabubujikwa sana na machozi kila Mama Samia akiongea chochote. Mwenyewe hujiita kijana mzalendo ila wengi wanamshambulia kwa kumwita chawa.
Kwa hiyo umejipa namba 5 sio?Tofauti kabisa na kina Malisa GJ, Maria Sarungi au Martin Maranja ambao hawana kabisa uvumilivu kwa yeyote atakayekuwa kinyume na mawazo yao hawa wanaJF wanapaswa kutunukiwa tuzo za uvumilivu kwa kutojali mashambulizi ya watu pale wanapopost nyuzi.
1. ERYTHROCYTE
Huyu mfuasi kindakindaki wa chama cha Mbowe ni mfano wa kuigwa kwenye ulimwengu wa demokrasia. Huyu ni mtu aliyekula kiapo cha utiifu kwa mwenyekiti wa chama chake kiasi kwamba post zake nyingi huwa ni kumsifu chairman. WanaCCM wamekuwa wakimwandama kwa hoja na baadhi kutumia lugha za kuudhi ila huyu mfuasi wa Mbowe hajawahi rudi nyuma.
2. BIBI FAIZA FOXY
Bibi yetu ambaye inasemekana ndo alikuwa Slayqueen wa enzi za TANU, yaani nchi inapata uhuru yeye tayari kashakula nauli za wakoloni kadhaa.. sio poa. Ni bibi mahiri sana kwenye hoja zake ila wananchi wengi hukwazwa sana na chembechembe za udini alizo nazo. Mwisho wa siku bibi Faiza ni mtu asiyetishwa na maneno ya kumkatisha tamaa kwenye anachoamini.
3. MZEE PASCAL MAYALLA.
Mzee wetu ni muumini mzuri wa sheria ya KARMA. Huamini kabisa hakuna baya utakalofanya halafu karma isitimize wajibu wake wa kukuadhibu. Ila huwa najiuliza KARMA huwa inasahau anwani ya CCM au huwa inakumbuka ila CCM humpatia Karma ka-takrima kisha Karma kupotezea? Tangu nimezaliwa ninasikia CCM ikilaumiwa sana. Mzee Pascal ni mtu mwenye uzoefu mkubwa wa kufeli kwenye kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Criticism dhidi yake sio ya kitoto ila huyu dingii haterereki.
4. MZEE MOHAMED SAID
Mzee wetu ni miongoni mwa watu wachache wanaojua mambo mengi sana ya nchi yetu. Ila yeye kaamua kujizima data na kulazimisha kuwa bila familia ya Sykes hii Tanzania isingekua hivi. Kuwa kina Sykes ndo kama waliibeba TZ mabegani na kuhakikisha inapata uhuru. Huwezi mwelezea mtu mdini usimtaje huyu mzee wetu. Pamoja na yote bado mzee wetu ana ngozi ngumu sana. Hayumbishwi kwenye ishu zake za udini.
5. LUCAS MWASHAMBWA
Huyu jombi ndo staa mkubwa kwa sasa wa JF. Jamaa huwa anabubujikwa sana na machozi kila Mama Samia akiongea chochote. Mwenyewe hujiita kijana mzalendo ila wengi wanamshambulia kwa kumwita chawa.
Kaka habari za JumapiliHii List Bila GENTAMYCINE ni Batili
Ziko Salama kabisa, Huku tukisubiri Hidaya apunguze makali yakeKaka habari za Jumapili
Mpokeeni Hidaya kwa bashqsha badala yetu😂😂Ziko Salama kabisa, Huku tukisubiri Hidaya apunguze makali yake
Frequency,dishi limeyumba kitambo sana.Namba 5 Ana akili timamu kweli!
Game changerMbona umemsahau GENTAMYCINE
Alitaka huyo atajwe hamna jingineMbona umemsahau GENTAMYCINE
Tz yetu 😂
Yahitaji uvumilivu sana kumuanzishia uzi mwanaume mwenye ID ya kikeWote wanaowafungulia threads wanawake Kwa kwel wapewe maua yao
Huyu mkuu anavyoandikaga kwa msisitizo na mbwembwe nyingi huwa nikisoma maandiko yake inanijia sauti ya Haji manara akiwa anatilia msisitizo jambo hadi kuapia 😂Entertainer 🤣
Charismatic 😂😂
Big fella.....😜😜😜
ISO...Mule mule yani. Watu waliojizima data
Na kububujikwa machoziHili bandiko lilikua ni la kumdharirisha bwana lucaas tu! Ila wote mnajua mwamba anakiwasha na wapinzani wanatikisika 🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu Mfanyakazi wa Mbowe anakataa kazi yake,Masahihisho: Erythrocyte hajawahi kuwa mfuasi wa Mbowe, Ni mfuasi wa Chadema, ni mwandishi wa Jf anayehusika na siasa, na huwezi kuhusika na siasa za Tanzania bila kutaja Chadema.
Kwahiyo kuniita Mfuasi Binafsi wa Mbowe ni ama umeamua kunidhalilisha kama walivyonifanyia mamluki wengi wa ccm au umeamua kupotosha makusudi