WanaJF wafuatao wanastahili tuzo ya uvumilivu kwa kutoyumbishwa na mashambulizi kila wanapopost nyuzi zao

Matongee,
Hapo chini nimeweka video inayoeleza historia ya kuandika historia ya TANU.

Tafadhali itazame.

Nimekunyamazia kuhusu suala la ''Udini,'' naamini unakusidia Uislam.

Ukweli ni kuwa mchango wao katika kupigania uhuru wa Tanganyika hauna mfano.

Hupendi historia hii ielezwe.

Ikielezwa ni "Udini," ila kuifuta katika historia ya Tanganyika huo si "Udini."

Nakushauri fungua uzi kuhusu hili suala la "Udini," In Shaa Allah nitakuja kuchangia kwa ushahidi wa nyaraka na picha na utawaona sana akina Sykes kuanzia 1924 hadi uhuru unapatikana 1961.

Nyaraka na picha hizi hujapata kuziona popote kama ambavyo haya nielezayo katika video hujayasikia popote.

Unachotakiwa kujiuliza nisemayo ni kweli au si kweli?:


View: https://youtu.be/bgiP_SI0-vI
 
Hii List Bila GENTAMYCINE ni Batili
 
Kwa hiyo umejipa namba 5 sio?
 
Entertainer 🀣
Charismatic πŸ˜‚πŸ˜‚
Big fella.....😜😜😜
Huyu mkuu anavyoandikaga kwa msisitizo na mbwembwe nyingi huwa nikisoma maandiko yake inanijia sauti ya Haji manara akiwa anatilia msisitizo jambo hadi kuapia πŸ˜‚
 
Huyu Mfanyakazi wa Mbowe anakataa kazi yake,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…