Niko hapa Capripoint. Karibuni sana
Kwa nn ucku..Mimi np hapa villa park hasa usiku...
Ntakuwa nakufahamu wewe....Nyegezi carlfonia
Duhh...nipo huku ukerewe.. Aliye karibu aje
Ulijuaje km kuna wachawi...Nilikuwa nakaa maeneo ya malimbe kalibia na Philips.
Mwanza maeneo ya Sweya Kuna Uchawi hatari Sana
habari wana JF,
Naomba kama wanaJF waishio Mwanza tufahamiane. Namaanisha wanaoishi Mwanza sio waliozaliwa Mwanza
karibuni
habari wana JF,
Naomba kama wanaJF waishio Mwanza tufahamiane. Namaanisha wanaoishi Mwanza sio waliozaliwa Mwanza
karibuni
Nipo nyegezi Karibu na stendi kuu ya mabasi...welcome
Oh nyegezi....! Karibu buhongwa...Nipo nyegezi Karibu na stendi kuu ya mabasi...welcome
Buhongwa
Kaibu Buhongwa, near Paris Rodge
Paris lodge ipo karibu na buhongwa stand???? OrOrganise tukutane at least tupate lunch kwa pamoja
Paris lodge ipo karibu na buhongwa stand???? Or