Niaje mkuu. Ww ni jiran yangu kbs. Mm nipo mwemben nyegez bara bara ya kuelekea st. Augustine UniversityKaribu nyegezi tema hotel
hahaha hahaa Ngw'anisale
Wasalimie hao wahindi na muache usumbufu kwa suppliers.Karibu U-turn
AhsanteeOh nyegezi....! Karibu buhongwa...
Idd wapi...
Karibu RuttaAkanana mimi jirani yako
We utakuwa mjeda weweNyamanoro mtaa wa Jeshini.
Andaeni aisee ...Maduka tisa[emoji137] ile party na sie tuandae nn?,!
Mimi niko Ikungulyabhashashi ila huwa nakuja kuja mjini kupiga picha pale kwenye samaki
Mkuu ebu funguka kiundani kuhusu u uchawi wa sweyaNilikuwa nakaa maeneo ya malimbe kalibia na Philips.
Mwanza maeneo ya Sweya Kuna Uchawi hatari Sana
Wewe ni jirani yangu kabisa. Mimi niko jirani na hapo Ikungulyabhashashi!.
Hebu chungulia nikuone basi..
Na wee ukiwepo!Andaeni aisee ...