adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
secretarybird una maoni gani juu ya hili ?
NotedJilindeni sana,
Kikosi kinapewa maelezo tena kama ilee ya code 29102025
Britanicca
CC: BoniyaiJilindeni sana,
Kikosi kinapewa maelezo tena kama ilee ya code 29102025
Britanicca
Mapema tu tukutane road.Carlos The Jackal na hydroxo mnipitie tar 7/7 👀
Kuna kikosi cha watu zaidi ya 400 watatoka nje ya tz sikutaka kupandisha hii Habari maana itaonekana natisha waandamanaji,CC: Boniyai
Lengo kupiga raia tena risasi sio?Kuna kikosi cha watu zaidi ya 400 watatoka nje ya tz sikutaka kupandisha hii Habari maana itaonekana natisha waandamanaji,
Ila kipo na Chalamila anajua hili
Kakwambia code 29102025,nini usichokielewa hapo?Sio 2029 ni 2025
Hizo sheria zote ni michezo ya kisiasa tu kukandamiza wasaka haki.Aisee! wakikupenda sana unaweza fika huku:
Vifungu Husika vya Sheria
Prevention of Terrorism Act, 2002:
- Kifungu cha 4 – Definition and prohibition for terrorist act: kinatambua na kupiga marufuku vitendo vyote vya ugaidi.
- Kifungu cha 20 – Provision of weapons to terrorist group: mtu yeyote anayetoa au kusambaza silaha kwa kundi la kigaidi au raia kwa nia ya kufanya ugaidi anatenda kosa.
- Kifungu cha 21 – Recruitment of persons to participate in terrorist acts: kuandikisha au kutoa mafunzo kwa raia kushiriki vitendo vya kigaidi ni kosa.
- Kifungu cha 24 – Conspiracy to commit offences under this Act: kupanga au kutangaza mpango wa kufanya ugaidi ni kosa hata kabla ya kutekelezwa.
- Kifungu cha 27 – Participation in commission of offences: kushiriki moja kwa moja au kwa njia ya maandalizi katika vitendo vya ugaidi ni kosa.
Adhabu Zinazotolewa
- Kifungo cha maisha: kwa makosa ya ugaidi na usambazaji wa silaha.
- Kifungo cha muda mrefu (miaka 20–30): kwa makosa ya kuandikisha au kutoa mafunzo kwa raia kushiriki vitendo vya kigaidi.
- Faini kubwa na kufutwa mali: mali au silaha zinazohusiana na ugaidi huchukuliwa na serikali.
Niseme tu mleta mada amezudisha visungura kiasi cha ku-type hovyo hovyo.secretarybird una maoni gani juu ya hili ?
Ngoja nikainoe mishale yangu ya sumu.. namtandika nao mtu mshale wa koromeoJilindeni sana,
Kikosi kinapewa maelezo tena kama ilee ya code 29102025
Britanicca
Normal error29102026!?
It's not an error, kaichezesha code kwa makusudi kabisa.Normal error
Mbona unachekacheka hovyo sana kama kichwani nati zimelegea?nibonyeze ngapi kupata kichekesho kama hiki
Wewe bwege si ulisema umeniaga?Mbona unachekacheka hovyo sana kama kichwani nati zimelegea?
Unasubiri kuona mzoga wa Samia ukiburuzwa mavumbini ili ucheke zaidi?
Kuna mtu anawa beep Delta ForceJilindeni sana,
Kikosi kinapewa maelezo tena kama ilee ya code 29102025
Britanicca
Achana na hizo pombe, nenda myumbani ukalale..This round hao askari watakufa kama kuku nimeagiza silahaa kontena mbili ntagawa kwa raia na kuwapa mafunzo