Wanakuachia mchana wanakufuata usiku, nchi ya kishenzi sana

Hizo sheria zote ni michezo ya kisiasa tu kukandamiza wasaka haki.

Nikwambie tu kuwa hata hii Serikali ikiangushwa sasa hivi watabebeshwa kesi za ugaidi kwa kutekeleza vitendo vya kigaidi.

Matendo ya utekaji wa kuua watu na kuwapoteza bila ya kuwafikisha mahakamani ni ugaidi kamili huo.

Museveni wa Uganda kipindi kaasi na kukimbilia msituni aliitwa 'gaidi' vile vile , lakini sasa je anaitwaje?

Wapambanaji wote huitwa majina hayo, lakini wakiingia kwenye hatamu, jina hilo hugeuzwa na kuwa waheshimiwa.

Kuchukua silaha na kupambana na utawala usioridhiwa na wananchi ndiyo muarobaini wa kufikia maafikiano ya kitaifa.
 
Mbona unachekacheka hovyo sana kama kichwani nati zimelegea?

Unasubiri kuona mzoga wa Samia ukiburuzwa mavumbini ili ucheke zaidi?
Wewe bwege si ulisema umeniaga?
Upweke umekuzidi ukaamua urudi kupata faraja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…