Wanambeya, mtakuwa wajinga kutomchagua tena Spika Tulia

Kwanza kama mwana CCM, kada, nampongeza sana Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwa kupewa wadhifa wa juu, Bunge la Mabune IPU.

Huo ni wadhifa umeleta sifa si kwa Tanzania tu, bali Afrika kwa ujumla.

Tukirudi bongo, hasa kule kwa wasokile, wasafwa, wanyiha, wapangwa na wakinga, kwenu huo ni mtaji mkubwa.

Tulia aombe kitu gani kw mama Samia halafu Samia amkatalie?

Dkt. Tulia mtaji wa maendeleo.

Lakini Mbeya kuna mijitu ya ajabu.

Kikwete aliwahi sikika akilalamika, eti Halmashsuri na Mkoa hawana ati sehemu ya kujenga Chuo Kikuu cha DSM, tawi la Mbeya!

Tukumbuke Chuo Kikuu cha Mandela kilikuwa kijengwe Mbeya, mji alimoingilia mpigania uhuru Mandela.

Kwa kukosa ushirikiano wenu kikajengwa Arusha.

Mbeya msiwe low achievers!
2020 alichaguliwa na nani ?
 
Awapelekeee watoto wake huo wadhfa
 
Kwani hiyo IPU haijawahi kuwa na Kiongozi?

Watanzania mna ujinga sana

Binafsi nampongeza dogo aliyesoma Mivumoni Sec School pale Kinondoni Mtambani anayetuwakilisha vena huko Marekani kisayansi! [emoji2]
Kweli kabisa nampata huyo dogo kanafanya kazi apple kama sikosei, bongo na afrika siasa ni fursa za utajiri wa haraka ndio maana zinabeba kila aina ya watu
 
Kwanza kama mwana CCM, kada, nampongeza sana Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwa kupewa wadhifa wa juu, Bunge la Mabune IPU.

Huo ni wadhifa umeleta sifa si kwa Tanzania tu, bali Afrika kwa ujumla.

Tukirudi bongo, hasa kule kwa wasokile, wasafwa, wanyiha, wapangwa na wakinga, kwenu huo ni mtaji mkubwa.

Tulia aombe kitu gani kw mama Samia halafu Samia amkatalie?

Dkt. Tulia mtaji wa maendeleo.

Lakini Mbeya kuna mijitu ya ajabu.

Kikwete aliwahi sikika akilalamika, eti Halmashsuri na Mkoa hawana ati sehemu ya kujenga Chuo Kikuu cha DSM, tawi la Mbeya!

Tukumbuke Chuo Kikuu cha Mandela kilikuwa kijengwe Mbeya, mji alimoingilia mpigania uhuru Mandela.

Kwa kukosa ushirikiano wenu kikajengwa Arusha.

Mbeya msiwe low achievers!
huyo hapiti, na wanamsubiri kwa hamu, labda kama jimbo litakatwa, la sivyo ana wakati mgumu sana.
 
Wewe pimbi Lord denning nenda kaangalie tena takwimu za uchumi za mwaka 2022. Mbeya inapitwa na Dar es Salaam, Kikimanjaro na Iringa tu.

Usifananishe Mbeya na mikoa ya hovyo kama Dodoma, Singida na Tabora. Sisi tuko another level
Kinachowabeba mbeya hapo ni kuwa na chakula kingi tu hakuna lolote zaidi la maana.

Ukiondoa Kyela tu ambapo pamepangwa kidogo ingawa bado hakuna nyumba na makazi yaliyojengwa vizuri sehemu zingine zote mmekalia majivuno wivu na chuki tu. Sehemu kubwa ya Mbeya imejengwa vibaya, bila mpangilio pamoja na kuwa na hali ya hewa nzuri.

Badilikeni nawaambia hii ni karne ya 21 na dunia inakimbia sana. Jengeni kwenu vizuri na waungeni mkono watu wenye akili za kimaendeleo
 
Mkuu wana Mbeya wengi wameshiba vitumbo ndi ndi ndi, lakini kichwani ni akili ya kimasikini kabisa. Nyumba bado za udongo na barabara ni uchochoro.
Masikini wakubwa hata oppurtunities hawaxioni.
 
Kwanza kama mwana CCM, kada, nampongeza sana Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwa kupewa wadhifa wa juu, Bunge la Mabune IPU.

Huo ni wadhifa umeleta sifa si kwa Tanzania tu, bali Afrika kwa ujumla.

Tukirudi bongo, hasa kule kwa wasokile, wasafwa, wanyiha, wapangwa na wakinga, kwenu huo ni mtaji mkubwa.

Tulia aombe kitu gani kw mama Samia halafu Samia amkatalie?

Dkt. Tulia mtaji wa maendeleo.

Lakini Mbeya kuna mijitu ya ajabu.

Kikwete aliwahi sikika akilalamika, eti Halmashsuri na Mkoa hawana ati sehemu ya kujenga Chuo Kikuu cha DSM, tawi la Mbeya!

Tukumbuke Chuo Kikuu cha Mandela kilikuwa kijengwe Mbeya, mji alimoingilia mpigania uhuru Mandela.

Kwa kukosa ushirikiano wenu kikajengwa Arusha.

Mbeya msiwe low achievers!
Nani achague ile hewa?

Anachukiwa sana aisee

IPU na mavi ya IPU

Hapati kura popote.....
 
Ni sahih kweli mbeya watapata San .maendeleo na barabara ya njia nne faster Ni muhimu hili wakalikumbuka
 
Tulia ata asingekuwa Rais wa IPU kushinda kwake ni asilimia mia moja
 
Back
Top Bottom