Wanambeya, mtakuwa wajinga kutomchagua tena Spika Tulia

Tulia kwenye mapokezi kutoka kupata cheo alichokipata kwa ihisani ya waarabu na kuhonga mamilioni ya DP world amekiri kuwa aliamua kesi ya kulinda kura za uchaguzi vizuri. Kwamba huyu ndiye aliyeamua polisi wawepo peke yao wakijaza masanduku ya kura na kuwa wapiga kura waende majumbani waachie upenyo wa wizi.
2. Huyu ndiye aliyepelekesha bunge kuridhia mkataba wa kimangungo uliopelekea kuuzwa bandari zetu! Huyu alifuata fungu lake 2.5M USD kupitia Morocco.
3. Huyu aliamrisha wapinzani wapigwe (kulala nao mbele).
4. Huyu yuko nyuma ya kufungwa Mbarikiwa Mwakipesile kwa uongo na kisingizio

WANAMBEYA chonde chonde tuepusheni na hiki kirusi! Dalali wa raslimali zetu
Wana Mbeya wajinga watakuunga mkono, halafu barabara za lami mnaelekeza kwenu.
 
Kwanza kama mwana CCM, kada, nampongeza sana Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwa kupewa wadhifa wa juu, Bunge la MabunGe, IPU.

Huo ni wadhifa umeleta sifa si kwa Tanzania tu, bali Afrika kwa ujumla.

Tukirudi bongo, hasa kule kwa wasokile, wasafwa, wanyiha, wapangwa na wakinga, kwenu huo ni mtaji mkubwa.

Tulia aombe kitu gani kwa mama Samia halafu Samia amkatalie?

Dkt. Tulia mtaji wa maendeleo.

Lakini Mbeya kuna mijitu ya ajabu.

Kikwete aliwahi sikika akilalamika, eti Halmashsuri na Mkoa hawana eti sehemu ya kujenga Chuo Kikuu cha DSM, tawi la Mbeya!

Tukumbuke Chuo Kikuu cha Mandela kilikuwa kijengwe Mbeya, mji alimoingilia mpigania uhuru Mandela.

Kwa kukosa ushirikiano wenu kikajengwa Arusha.

Mbeya msiwe low achievers!
Amka acha kuota ndoto mchana! Kikwete kwao Msoga kukoje? Mkapa kwao Lupaso kukoje? Magufuli kwao Chato kukoje?
 
Amekutuma uje utuambie SA TUNAKUAMBIA HIV AKOMAE JIMBO LIMEGWE LIKIACHWA HIV HIV ATAPOTEA MBAYA SANAAA SUGU ATAMFUNDISHA ADABU
1698743768234.png
 
Ni vizuri ungeainisha Bi Tulia amewafanyia nini wana Mbeya katika kipindi chake cha ubunge kiasi cha kustahili kuwa Mbunge wao tena, ungetusaidia pia kipi Tulia amewafanyia Watanzania kiasi cha kuaminiwa tena kwenye nafasi ya uspika.
 
Kwanza kama mwana CCM, kada, nampongeza sana Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwa kupewa wadhifa wa juu, Bunge la MabunGe, IPU.

Huo ni wadhifa umeleta sifa si kwa Tanzania tu, bali Afrika kwa ujumla.

Tukirudi bongo, hasa kule kwa wasokile, wasafwa, wanyiha, wapangwa na wakinga, kwenu huo ni mtaji mkubwa.

Tulia aombe kitu gani kwa mama Samia halafu Samia amkatalie?

Dkt. Tulia mtaji wa maendeleo.

Lakini Mbeya kuna mijitu ya ajabu.

Kikwete aliwahi sikika akilalamika, eti Halmashsuri na Mkoa hawana eti sehemu ya kujenga Chuo Kikuu cha DSM, tawi la Mbeya!

Tukumbuke Chuo Kikuu cha Mandela kilikuwa kijengwe Mbeya, mji alimoingilia mpigania uhuru Mandela.

Kwa kukosa ushirikiano wenu kikajengwa Arusha.

Mbeya msiwe low achievers!
Jidu, kuwa CCM kusikufanye uandike vitu kishabiki. Wanambeya ni watu wanaojitambua hivyo wanapima ni nani anafaa na nani hafai. Kifupi utendaji wa Tulia Kama spika wa bunge letu, umetufanya Wanambeya tujilaumu ni kwa jinsi gani mtu kama huyu alipata ubunge kupitia Jimbo letu! Kipindi cha sakata la DPW ndiyo kabisaa tunaona kichefuchefu kumrudisha mtu kama huyu.

Urais wa IPU yoyote angeshinda hata kama angekuwa Mrisho Mpoto. Wagombea walitoka nchi dhaifu za Afrika hivyo alibebwa na jina la nchi wala si umairi wake. Kuwa kwake ktk nafasi hiyo hakuwaongezei chochote wapiga kura wa mbeya. Unaweza kuwa nae mahaba wewe binafsi lakini usiwalishe maneno mdomoni Wanambeya. Record yake ya utendaji na jinsi alivyopata vyeo alivyonavyo, matendo yake, hulka na tabia yake vinaaeleweka vizuri.
 
Kinachowabeba mbeya hapo ni kuwa na chakula kingi tu hakuna lolote zaidi la maana.

Ukiondoa Kyela tu ambapo pamepangwa kidogo ingawa bado hakuna nyumba na makazi yaliyojengwa vizuri sehemu zingine zote mmekalia majivuno wivu na chuki tu. Sehemu kubwa ya Mbeya imejengwa vibaya, bila mpangilio pamoja na kuwa na hali ya hewa nzuri.

Badilikeni nawaambia hii ni karne ya 21 na dunia inakimbia sana. Jengeni kwenu vizuri na waungeni mkono watu wenye akili za kimaendeleo
Kwani maeneo yasiyopangwa yapo Mbeya pekee? Unajifanya ukiwa Dar es Salaam hujafika Kwa Mtogole, Kigogo, Buguruni Kisiwani au Kwa Mnyamani au Kiwalani??
 
Kwa hiyo unafananisha Dar na huo uchafu uliozagaa hapo Mbeya nzima?
 
Kwanza kama mwana CCM, kada, nampongeza sana Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwa kupewa wadhifa wa juu, Bunge la MabunGe, IPU.

Huo ni wadhifa umeleta sifa si kwa Tanzania tu, bali Afrika kwa ujumla.

Tukirudi bongo, hasa kule kwa wasokile, wasafwa, wanyiha, wapangwa na wakinga, kwenu huo ni mtaji mkubwa.

Tulia aombe kitu gani kwa mama Samia halafu Samia amkatalie?

Dkt. Tulia mtaji wa maendeleo.

Lakini Mbeya kuna mijitu ya ajabu.

Kikwete aliwahi sikika akilalamika, eti Halmashsuri na Mkoa hawana eti sehemu ya kujenga Chuo Kikuu cha DSM, tawi la Mbeya!

Tukumbuke Chuo Kikuu cha Mandela kilikuwa kijengwe Mbeya, mji alimoingilia mpigania uhuru Mandela.

Kwa kukosa ushirikiano wenu kikajengwa Arusha.

Mbeya msiwe low achievers!
Huyu ni spika mjinga kabisa kuwahi kutoka nchi hii.Spika wa kishamba sana kutoka Unyakyusani.An empty set spika, a pumpkin spika.
 
Una uhakika kuwa wewe ndiye pumpkin head, maana hata kwenye familia yako hupati kura ya kuiwakilisha popote!
 
Huyu Tulia kazingua sana,barabara Mbeya ni kilio!
Atuwekee lami barabara yetu ya Itende ndio ntamuelewa!kinyume na hapo JIMBO LIGAWANYWE MAANA LIMEMSHINDA!
 
Kwanza kama mwana CCM, kada, nampongeza sana Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwa kupewa wadhifa wa juu, Bunge la MabunGe, IPU.

Huo ni wadhifa umeleta sifa si kwa Tanzania tu, bali Afrika kwa ujumla.

Tukirudi bongo, hasa kule kwa wasokile, wasafwa, wanyiha, wapangwa na wakinga, kwenu huo ni mtaji mkubwa.

Tulia aombe kitu gani kwa mama Samia halafu Samia amkatalie?

Dkt. Tulia mtaji wa maendeleo.

Lakini Mbeya kuna mijitu ya ajabu.

Kikwete aliwahi sikika akilalamika, eti Halmashsuri na Mkoa hawana eti sehemu ya kujenga Chuo Kikuu cha DSM, tawi la Mbeya!

Tukumbuke Chuo Kikuu cha Mandela kilikuwa kijengwe Mbeya, mji alimoingilia mpigania uhuru Mandela.

Kwa kukosa ushirikiano wenu kikajengwa Arusha.

Mbeya msiwe low achievers!

Hata mama Mongella alikuwa Rais wa Bunge la Africa ila akapigwa Chini 2010 na Sylvester Machemli a Novice. Usipende kuongea ujinga.
 
Kinachowabeba mbeya hapo ni kuwa na chakula kingi tu hakuna lolote zaidi la maana.

Ukiondoa Kyela tu ambapo pamepangwa kidogo ingawa bado hakuna nyumba na makazi yaliyojengwa vizuri sehemu zingine zote mmekalia majivuno wivu na chuki tu. Sehemu kubwa ya Mbeya imejengwa vibaya, bila mpangilio pamoja na kuwa na hali ya hewa nzuri.

Badilikeni nawaambia hii ni karne ya 21 na dunia inakimbia sana. Jengeni kwenu vizuri na waungeni mkono watu wenye akili za kimaendeleo

Usipende kulazimisha watu unachokiamani.
 
Back
Top Bottom