Wanambeya, mtakuwa wajinga kutomchagua tena Spika Tulia

Wana Mbeya wajinga watakuunga mkono, halafu barabara za lami mnaelekeza kwenu.
 
Amka acha kuota ndoto mchana! Kikwete kwao Msoga kukoje? Mkapa kwao Lupaso kukoje? Magufuli kwao Chato kukoje?
 
Ni vizuri ungeainisha Bi Tulia amewafanyia nini wana Mbeya katika kipindi chake cha ubunge kiasi cha kustahili kuwa Mbunge wao tena, ungetusaidia pia kipi Tulia amewafanyia Watanzania kiasi cha kuaminiwa tena kwenye nafasi ya uspika.
 
Jidu, kuwa CCM kusikufanye uandike vitu kishabiki. Wanambeya ni watu wanaojitambua hivyo wanapima ni nani anafaa na nani hafai. Kifupi utendaji wa Tulia Kama spika wa bunge letu, umetufanya Wanambeya tujilaumu ni kwa jinsi gani mtu kama huyu alipata ubunge kupitia Jimbo letu! Kipindi cha sakata la DPW ndiyo kabisaa tunaona kichefuchefu kumrudisha mtu kama huyu.

Urais wa IPU yoyote angeshinda hata kama angekuwa Mrisho Mpoto. Wagombea walitoka nchi dhaifu za Afrika hivyo alibebwa na jina la nchi wala si umairi wake. Kuwa kwake ktk nafasi hiyo hakuwaongezei chochote wapiga kura wa mbeya. Unaweza kuwa nae mahaba wewe binafsi lakini usiwalishe maneno mdomoni Wanambeya. Record yake ya utendaji na jinsi alivyopata vyeo alivyonavyo, matendo yake, hulka na tabia yake vinaaeleweka vizuri.
 
Kwani maeneo yasiyopangwa yapo Mbeya pekee? Unajifanya ukiwa Dar es Salaam hujafika Kwa Mtogole, Kigogo, Buguruni Kisiwani au Kwa Mnyamani au Kiwalani??
 
Kwani maeneo yasiyopangwa yapo Mbeya pekee? Unajifanya ukiwa Dar es Salaam hujafika Kwa Mtogole, Kigogo, Buguruni Kisiwani au Kwa Mnyamani au Kiwalani??
Kwa hiyo unafananisha Dar na huo uchafu uliozagaa hapo Mbeya nzima?
 
Huyu ni spika mjinga kabisa kuwahi kutoka nchi hii.Spika wa kishamba sana kutoka Unyakyusani.An empty set spika, a pumpkin spika.
 
Huyu ni spika mjinga kabisa kuwahi kutoka nchi hii.Spika wa kishamba sana kutoka Unyakyusani.An empty set spika, a pumpkin spika.
Una uhakika kuwa wewe ndiye pumpkin head, maana hata kwenye familia yako hupati kura ya kuiwakilisha popote!
 
Huyu Tulia kazingua sana,barabara Mbeya ni kilio!
Atuwekee lami barabara yetu ya Itende ndio ntamuelewa!kinyume na hapo JIMBO LIGAWANYWE MAANA LIMEMSHINDA!
 

Hata mama Mongella alikuwa Rais wa Bunge la Africa ila akapigwa Chini 2010 na Sylvester Machemli a Novice. Usipende kuongea ujinga.
 

Usipende kulazimisha watu unachokiamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…