Wanambeya, mtakuwa wajinga kutomchagua tena Spika Tulia

Wewe pimbi Lord denning nenda kaangalie tena takwimu za uchumi za mwaka 2022. Mbeya inapitwa na Dar es Salaam, Kilimanjaro na Iringa tu.

Usifananishe Mbeya na mikoa ya hovyo kama Dodoma, Singida na Tabora. Sisi tuko another level

Nyie wapwa zangu ni wavivu sana. mshukuru mna ardhi na hali ya hewa nzuri.
 
Ujinga mtupu.. Siasa za kizamani sana hizi.
Swali kawafanyia nini wana mbeya kiasi apewe nafasi, sasa huo uraisi wake wa IPU una faida gani kwa wana mbeya?
 
Nyie wapwa zangu ni wavivu sana. mshukuru mna ardhi na hali ya hewa nzuri.
unatumia kigezo gani kuwa wana Mbeya ni wavivu? Wewe hujafika Mbeya, nakuhakikishia katika mikoa yote ni Mbeya tu ndiyo haina ombaomba wa mitaani kama ilivyo miji mingine
 
Mkuu kuna mijitu mijinga sana huku kwetu.
Hiyo mijitu inaamkia nyumba za tope na ina lala jioni nyumba za tope na choo cha shimo, halafu mijitu hii inajisifia inatoka Mbeya.
 
Khaaaah nchi hii tatizo si upigaji wala nini... Tatizo kubwa kuliko ni mindsets za watawaliwa!
Hiyo IPU inaleta fursa zipi kwa wana Mbeya na waTanzania?
 
Khaaaah nchi hii tatizo si upigaji wala nini... Tatizo kubwa kuliko ni mindsets za watawaliwa!
Hiyo IPU inaleta fursa zipi kwa wana Mbeya na waTanzania?
Kama bado hujui basi mindset yako ni bado ya ugali na maharage, na si zaidi ya hapo.
 
Nafuu sisi wa nyumba za matope kuliko nyinyi mnalala na mifugo nyumba moja huko Mwanza

Nyie washamba mlioishia kusafiri Inyala , hamjui kama mko nyuma kwa sababu hamtembei.
Kwenye hiyo picha jiji la Mwanza-Rock City zoom.na utafute nyumba ya tope kama Mwanjelwa.
 
Kama bado hujui basi mindset yako ni bado ya ugali na maharage, na si zaidi ya hapo.
Lete majibu...
Au mkishashiba burger πŸ”πŸ”, crips🍟🍟na pizza πŸ•πŸ• kwa hela mnazotuibia mnatuona sisi wala ugali maharage hatufai??
 
Abaki na IPU huku awe raia tu napo sawa Si ana taasisi yake ya Tulia mikopo aendelee tu vema kwan lazima atawale Mbeya. Mma gwee
 
Mkuu kuna mijitu mijinga sana huku kwetu.
Hiyo mijitu inaamkia nyumba za tope na ina lala jioni nyumba za tope na choo cha shimo, halafu mijitu hii inajisifia inatoka Mbeya.

Kabla sijakaa mbeya, nilikuwa nawaona wajanja. Kumbe ni wajinga.
πŸ™‚ πŸ˜› πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…